| Swahili
AFRIKA
1 dk kusoma
UNSC inatarajiwa kupiga kura kuhusu azimio la kulinda meli za kibiashara katika Mlango wa Hormuz
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupiga kura kuhusu azimio la kulinda meli za kibiashara katika Mlango-Bahari wa Hormuz.
UNSC inatarajiwa kupiga kura kuhusu azimio la kulinda meli za kibiashara katika Mlango wa Hormuz
Kura hiyo imepangwa kufanyika saa chache kabla ya muda wa mwisho uliowekwa na Rais wa Marekani Donald Trump kwa Iran./ / Reuters

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupiga kura siku ya Jumanne kuhusu azimio la kulinda meli za kibiashara katika Mlango-Bahari wa Hormuz.

Kura hiyo imepangwa kufanyika saa 12 jioni saa za Afrika Mashariki (15:00) GMT, saa chache kabla ya muda wa mwisho uliotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump kwa Iran kukubali makubaliano au miundombinu yake kushambuliwa.

Bei ya mafuta imepanda tangu kuanza kwa mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran mwishoni mwa mwezi wa Februari yaliposababisha mzozo ambao umesababisha msongamano wa meli kwenye Mlango Bahari, njia ambayo hupitisha takriban theluthi moja ya nishati duniani

CHANZO:TRT World
Soma zaidi
Rais wa Afrika Kusini aagiza hatua za kuwalinda wanawake kufuatia mfululizo wa mauaji
Misri yakana kuingilia mambo ya ndani ya Ethiopia na kuunga mkono makundi yenye silaha
Edward Kijanangoma atawazwa mfalme mpya wa Tooro
Je, Afrika itapata viti vya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa?
Jeshi la Polisi Tanzania laonya wanaochochea mgomo wa madereva wa mabasi
Madaktari bingwa wa Tanzania waweka kambi ya matibabu Malawi
Makamu wa Rais Tanzania ataka vijana kupewa fursa za mafunzo ya ajira
Jeshi la Sudan lapinga madai ya kuunga mkono makundi ya upinzani Ethiopia
Uchaguzi Mkuu kurejesha utulivu Sudan Kusini?
Marekani italazimika kuondoka Mashariki ya Kati: Iran
Mashambulizi ya kigaidi mjini Mogadishu yapungua kwa karibu asilimia 90: Serikali ya Somalia
Maambukizi ya Ebola nchini DRC ni zaidi ya 8,000 tangu kuanza kwa mlipuko huo
Watoto 17 miongoni mwa wahamiaji 250 waliookolewa katika pwani ya Mauritania
Marekani kusitisha ufadhili wa sekta ya afya nchini Zimbabwe kufikia mwishoni mwa mwezi wa Septemba
Mwanamke wa kumi apatikana amefariki katika msururu  wa mauaji nchini Afrika Kusini
Qatar Airways yakopesha marubani kwa shirika la ndege la taifa la Rwanda
Wapiganaji wa RSF wahamia upande wa jeshi la Sudan baada ya kushuhudia 'maafa'
Mkuu wa Umoja wa Mataifa asikitishwa kwa kunyimwa viza  kiongozi wa Sudan, Burhan kuhudhuria UNGA
Jenerali wa DR Congo miongoni mwa watu 13 waliofariki katika ajali ya ndege
Afrika itapata hadhi ya uwanachama wa kudumu katika Baraza la Usalama Umoja wa Mataifa?