Nini suluhisho la mgogoro wa Sudan

Nini suluhisho la mgogoro wa Sudan

Mgogoro wa kibinadamu unaendelea nchini Sudan huku mapigano yaliyoanza tarehe 15 Aprili, 2023 kati ya Jeshi la Sudan na Vikosi vya Msaada wa Haraka yakiendelea. Umoja wa Afrika unasema suluhu ya kudumu ya vita hivi vya kijeshi kuhusu mamlaka inaweza tu kutatuliwa kupitia mchakato wa amani unaoongozwa na Sudan yenyewe