Weka wanawake kwenye meza ya maongezi ya Amani

Weka wanawake kwenye meza ya maongezi ya Amani

Licha ya kuwa wanawake ndio wanaathariwa zaidi katika migogoro, wao hukosa kuhusishwa katika michakato ya upatanishi. Wataalamu wanafanya kampeni ili wanawake zaidi wawe katika meza ya maongezi kuhusu amani