Chakula Hakitupwi tena Afrika Kusini

Chakula Hakitupwi tena Afrika Kusini

Mwanaume mmoja ameanza kuchakata mabaki ya chakula kwa ajili ya kutengeneza mbolea ambayo inatumika kwenye yakupendezesha maeneo mbali mbali jijini Johannesburg, Afrika Kusini.