Wafurushwe wote: Mpango wa Israeli kwa wakazi wa Gaza?
Pendekezo la hivi majuzi la vitani lililoandaliwa na Wizara ya Kijasusi ya Israel linaonyesha mpango wa kuwafukuza Wapalestina milioni 2.3 baada ya vita vya sasa vya Israel dhidi ya eneo lililozingirwa la Gaza kumalizika.