Vimbunga, dhoruba za kitropiki na taifuni ni nini?
Filamu za dijitali
Vimbunga, dhoruba za kitropiki na taifuni ni nini?
Umewahi kujiuliza vimbunga, dhoruba za kitropiki na taifuni ni nini?TRT World inaeleza tofauti kati ya haya matatu, lini na wapi yanafanyika, na kwa nini yanafanyika