Uchaguzi wa uturuki wa 2023: Mambo 5 kujua kuhusu Recep Tayyip Erdagon
Uturuki inajitayarisha kwa uchaguzi wa rais na bunge utakaofanyika Mei 14. Rais aliye madarakani Recep Tayyip Erdogan kwa mara nyingine tena anawania kiti cha urais. Hapa kuna mambo muhimu ya kujua kuhusu Erdogan, mmoja wa wagombea wakuu wa uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo. #Türkiye #uchaguzi #May14