Uchaguzi wa Uturuki wa 2023: Mambo 5 kujua kuhusu mgombea wa urais, Kemal Kilicdaroglu

Uchaguzi wa Uturuki wa 2023: Mambo 5 kujua kuhusu mgombea wa urais, Kemal Kilicdaroglu

Muungano wa vyama sita vya upinzani umemtaja kiongozi wa CHP Kemal Kilicdaroglu kama mgombeaji wake kwa uchaguzi ujao wa 2023 huko Uturuki. Hapa kuna mambo matano ya kujua kumhusu. #2023TürkiyeElections #Kilicdaroglu