Sultan Mehmed alivyokomboa Istanbul

Sultan Mehmed alivyokomboa Istanbul

Namna Sultan Mehmed alivyokomboa Istanbul. Mnamo Mei 29, 1453, Sultan Mehmed II wa Milki ya Ottoman na jeshi lake waliteka jiji lililoitwa Constantinople wakati huo - jiji ambalo Wabyzantine walikuwa wametawala ikiwa makao makuu ya Milki ya Roma ya Mashariki(Eastern Roman Empire) kwa zaidi ya miaka 1,000. Sultan Mehmed alikuwa na miaka 21 tu alipoongoza jeshi lake la ardhini na maji kulizingira jiji hilo na hatimaye kuliangusha dola ya Mfalme Konstanin. Kilele cha ukombozi huo ulikuwa kuichukua jengo kuu la Ayasofia (Hagia Sophia). Mehmed alipewa jina 'Fatih' yaani 'Mfunguzu' baada ya mapambano haya. Tamthilia ya Mehmed Fetihler Sultani inaoneshwa katika TRT1 kwenye televisheni na mitandaoni. #trtafrikaswahili #Ukomboziwaistanbul #sultanmehmed #mehmedfetihlersultanı #MilkiYaOttoman #istanbulfetih1453 #UfalmeWaOttoman #tabii