| Swahili
Naokota chupa ili kusaidia jiji
01:39
Ulimwengu
Naokota chupa ili kusaidia jiji
Frank Simon ni muokota chupa za plastiki na anaishi maisha yake akisafisha mitaa na kupata kipato kidogo kutokana na hilo. Nchini Tanzania, wakusanya chupa za plastiki wengi wanafanya kazi ya kusafisha maeneo yaliyochafuliwa, lakini kwa gharama ya kuonekana kana kwamba hawana mwelekeo. Frank ni mtu mmoja anayepamban na Uchafuzi wa Plastiki.
6 Juni 2023
Tazama Video zaidi
Tanzania yaingia katika orodha ya nchi zinazozalisha gesi ya Helium
Uganda: Biashara ya usafiri si ya watu binafsi
Afrika ndilo bara la pili katika uzalishaji wa asali duniani | Utajiri wa Afrika
Charles Kibe Mwangi na simulizi ya njiti ya ufagio
Je, unaijua nchi ya Iran?
Je, Ufaransa Ilifanya nini Cameroon? Ukweli wafichuka
Raila Odinga asimulia alivyotumia pasipoti ya Tanganyika kusafiria
Eunice: 'Mimi naweza chochote' | Story Yangu
Bwana Chui Bin Kositi: Shujaa wa Uadilifu kutoka Congo
Wanafunzi wasichana wapata mafunzo ya teknolojia nchini Kenya