Mashoga Uganda Watasaidiwa

Mashoga Uganda Watasaidiwa

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amepuuzilia mbali vitisho vya mataifa ya magharibi na taasisi za kifedha duniani zilizotishia kuiwekea nchi hiyo vikwazo siku chache baada ya kuidhinisha sheria ya kupinga vitendo vya ufanyaji mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.