Malkia wa Taarab Khadija Kopa ni nani?

Malkia wa Taarab Khadija Kopa ni nani?

Malkia wa Taarab Khadija Kopa ni nani? Hii hapa ni safari ya muziki ya Khadija Kopa katia muziki wa Taarab. Khadija Kopa ameshiriki karika makundi mbalimbali kama vile Culture Musical Club, Muungano Cultural Troupe na Tanzania One Theatre maarufu kama TOT. Baadhi ya nyimbo zake maarufu ni kama vile 'TX Mpenzi', 'Top in Town', 'Gwiji', 'Unaringa Umepima' na 'Tutabanana hapahapa'. Watoto wake wawili pia walifuata nyayo zake katika uimbaji, akiwemo Omari Kopa aliyefariki dunia mwaka 2008 na Zuchu, msanii nyota wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania.