Jumba la makumbusho ya Maradona

Jumba la makumbusho ya Maradona

Ukitalii katika nyumba ya kwanza ya Diego Maradona, mmoja wa wanasoka bora zaidi duniani katika historia, utavutiwa na kujua zaidi kuhusu maisha na familia yake. Nyumba hiyo iliyoko katika jiji la Buenos Aires, Argentina, imegeuzwa kuwa jumba la makumbusho, linalovutia watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani.