Erdogan ashinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu Uturuki
Filamu za dijitali
Erdogan ashinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu Uturuki
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amechaguliwa tena kwa zaidi ya asilimia 52 ya kura na atahudumia nchi kwa miaka mingine mitano. #Erdogan #Erdogan ashinda #Uchaguzi wa Uturuki