Ahmed kutoka Misri: Nilijifunza Kiswahili miaka 20 iliyopita
Ahmed Elazeb ni kijana kiutoka Misri ambaye amejifunza Kiswahili kwa kupata fursa ya kuishi Tanzania.
Maadhimisho yanafanyika sehemu mbali mbali ya Siku ya Kiswahili Duniani.
Jumuiya ya Afrika Mashariki imewakaribisha watu wa dunia kujifundisha lugha hiyo inayozungumzwa na zaidi ya watu Milioni 230.