| Swahili
Prince Harry ni Nani?
Ulimwengu
Prince Harry ni Nani?
Mwanamfalme Harry ameamua kurudi nyumbani yeye pamoja na familia yake.

Mwanamfalme Harry ameamua kurudi nyumbani yeye pamoja na familia yake. Prince Harry na mke wake Meghan Markle pamoja na watoto wao wanarejea Uingereza, ila hawatokuwa na majukumu rasmi kama Mwanamfalme.

Pamoja na hayo, Harry ameamua kuondoa tofauti zake na baba yake,Mfalme Charles wa tatu ambaye anatibiwa saratani kwa sasa.

Tazama Video zaidi
Inyas Sulley: Mtanzania anayechukua riadha hatua kwa hatua
Wa-Houthi ni kina nani?
Desturi ya kuvaa baraghashia
Benjamin Ratsim: Kijana wa miaka 19 anayebanana na vigogo wa riadha
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure