| Swahili
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Afrika
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Tunaendelea na mfululizo wetu wa kuangalia vipaji vya vijana wa Tanzania katika michezo ya riadha.

Gabriel Geay ni mmoja wa wakimbiaji mahiri wa mbio za masafa marefu (marathoni) kutoka Tanzania, na mafanikio yake yamemweka imara kwenye ramani ya kimataifa ya riadha.

Akiwa amezaliwa Tanzania Septemba 1996, Geay amejijengea sifa katika mbio za marathon, ambazo ni moja ya mashindano magumu zaidi katika riadha.

Na tayari amethibitisha kuwa anaweza kushindana na baadhi ya wakimbiaji bora duniani.

Tazama Video zaidi
Inyas Sulley: Mtanzania anayechukua riadha hatua kwa hatua
Wa-Houthi ni kina nani?
Desturi ya kuvaa baraghashia
Benjamin Ratsim: Kijana wa miaka 19 anayebanana na vigogo wa riadha
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Prince Harry ni Nani?
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure