| Swahili
Gerrard: Mwamba wa Liverpool
Michezo
Gerrard: Mwamba wa Liverpool
Steven George Gerrard mzaliwa wa Whiston, Merseyside nchini Uingereza.

Steven George Gerrard mzaliwa wa Whiston, Merseyside nchini Uingereza.

Katika kucheza kwake soka ya kulipwa ilikuwa zaidi na klabu ya nyumbani ya Liverpool, kuanzia mwaka 1998 hadi 2015.

Akiwa pale Anfield alishinda mataji tisa ikiwemo Klabu Bingwa Ulaya 2005 jijini Istanbul na makombe ya FA.

Tazama Video zaidi
Inyas Sulley: Mtanzania anayechukua riadha hatua kwa hatua
Wa-Houthi ni kina nani?
Desturi ya kuvaa baraghashia
Benjamin Ratsim: Kijana wa miaka 19 anayebanana na vigogo wa riadha
Magdalena Shauri : Dada anayepepea miongoni mwa vigogo wa riadha duniani
Gabriel Geay : Nyota wa riadha wa Tanzania 'Moto wa kuotea mbali'
Kiuno mkabaji Thomas Partey
Prince Harry ni Nani?
Mafao anayostahiki Nchimbi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha