| Swahili
UTURUKI
1 dk kusoma
Shirika la ndege la Uturuki lapata Afisa Mtendaji Mkuu mpya
Shirika hilo limemteua Murat Seker kama mwenyekiti wa bodi wa shirika hilo, huku Ahmet Olmustur akichukua nafasi ya Afisa Mtendaji Mkuu.
Shirika la ndege la Uturuki lapata Afisa Mtendaji Mkuu mpya
Shirika la ndege la Uturuki./Picha:@TurkishAirlines

Murat Seker ameteuliwa kama mwenyekiti mpya wa bodi ya shirika hilo la ndege na kamati yake ya utendaji, wakati Ahmet Olmuştur alichaguliwa kama Afisa Mtendaji Mkuu wa shirika hilo.

Hatua hiyo inakuja baada kikao cha bodi ya shirika hilo la ndege kutangaziwa kuwa mwenyekiti aliye madarakani  Ahmet Bolat na Afisa Mtendaji Mkuu Bilal Eksi, wanastaafu.

Kabla ya uteuzi huo, Olmustur alikuwa akihudumu kam afisa mkuu wa biashara wa shirika hilo huku Murat Seker akishikilia nafasi ya Naibu Meneja Mkuu wa shirika la ndege la Uturuki, kuanzia mwaka 2016.

Soma zaidi
Watoto hawapaswi kulipa gharama ya vita, ukandamizaji: Erdogan
Uturuki yapiga marufuku mitandao kwa watoto chini ya miaka 15, mabadiliko makubwa ya kidijitali
Hakuna upungufu wa mafuta ya ndege nchini Uturuki: waziri
Wachambuzi wanaonya EU dhidi ya kujitenga na Uturuki huku kukiwa na changamoto za kiusalama
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Fidan kufanya ziara rasmi ya siku mbili nchini Uingereza
Tamasha kubwa la sayansi kwa vijana barani Afrika limefanyika Côte d'Ivoire
Uturuki inakataa ramani za bahari za Ugiriki ikisema kuwa zinakiuka sheria za kimataifa
COP31 huko Antalya kuanzisha enzi mpya ya ushirikiano wa hali ya hewa: Waziri Kurum wa Uturuki
Ishara ya Uganda katika Jukwaa la Diplomasia la Antalya inaonyesha kujitolea kwa uhusiano wa Uturuki
Viwanda vya ujenzi wa meli vya Uturuki katika maonyesho ya US Sea-Air-Space 2026
Uturuki imepongeza uteuzi wa gavana mwenye asili ya Turkmeni katika mkoa wa Kirkuk, Iraq
Erdogan afanya mazungumzo na viongozi wa Burundi, Libya kando ya Jukwaa la Diplomasia la Antalya
Waziri Mkuu wa Pakistan Sharif anaondoka Antalya na sifa kwa Rais Erdogan, kushinikiza uhusiano
Mke wa rais wa Uturuki ahudhuria jopo la 'Moyo Mmoja kwa Palestina' katika Kongamano la Antalya
Rais Erdogan akutana na viongozi wa Slovenia, Comoro, DRC katika Jukwaa la Diplomasia la Antalya
Israel inatumia usalama kama kisingizio cha kunyakua  'ardhi zaidi': Waziri Fidan
Fidan wa Uturuki akutana na mawaziri w mambo ya nje wa Misri, Pakistan na Saudi Arabia
Erdogan aonya kuhusu migogoro ya dunia, ataka diplomasia, utulivu wa kikanda
Viongozi mbalimbali wahudhuria Jukwaa la Kidiplomasia la Antalya
Spika wa Bunge la Uturuki ataka Israel iondolewe Umoja wa Mataifa