| Swahili
AFRIKA
1 dk kusoma
Rais Mnangagwa apitisha sheria ya kumuongezea muda wa kukaa madarakani
Hata hivyo, sheria hiyo ambayo inaondoa uchaguzi wa urais, imepingwa na vyama vya upinzani vya nchini Zimbabwe.
Rais Mnangagwa apitisha sheria ya kumuongezea muda wa kukaa madarakani
Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe./Picha:Wengine / Others