| Swahili
Viwanja vya AFCON 2025 Morocco
02:18
Afrika
Viwanja vya AFCON 2025 Morocco
Baada ya AFCON ya Morocco wanaopokea kijiti ni Afrika Mashariki ambao ndio watakuwa wenyeji wa AFCON 2027. Nchi hizo ni Kenya, Tanzania na Uganda.

Morocco ambao pia ni wenyeji wenza wa Kombe la Dunia 2030 wametumia mashindano ya AFCON kama sehemu ya maandalizi mazuri kuelekea huko.

Nchi hii inatumia viwanja 9 kwenye michezo ya mwaka huu, baadhi yao ikiwa vimekarabatiwa na kuongezwa idadi ya mashabiki katika miji mbalimbali.

Tazama Video zaidi
Nyota ya refa wa Somalia yazimwa
Fimbo ya DRC katika uwanja la Kombe la Dunia
Mtoto wa Sudan na Tumbusi
Mkenya Sabastian Sawe aweka historia marathon amaliza chini ya saa mbili
Papa Wemba: Kumbukumbu ya miaka 10 tangu afariki
Nyuma ya Kamera: Kisa cha picha maarufu ya Muhammad Ali
AFCON 2025: Ni Senegal au Morocco?
Kocha wa Morocco asema 'Hatubebwi na marefa'
Tanzania yaaga mashindano ya AFCON 2025
Fei Toto: "Muhimu ulikuwa ni kuvuka hatua ya makundi"