| Swahili
Mtoto wa Sudan na Tumbusi
03:34
Afrika
Mtoto wa Sudan na Tumbusi
Mwaka 1993, mpiga picha Kevin Carter alipiga moja ya picha yenye utata zaidi katika historia: mtoto aliyeanguka kwa njaa kali nchini Sudan huku tumbusi akimnyemelea nyuma yake.

Hii ndiyo simulizi ya picha hiyo iliyoshtua ulimwengu, ikashinda Tuzo ya Pulitzer, na kuzua mjadala mkali kuhusu maadili ya upigaji picha, huku ikimuacha mpiga picha wake akiwa na msongo wa mawazo na hatimae kujiua.

Tazama Video zaidi
Mkenya Sabastian Sawe aweka historia marathon amaliza chini ya saa mbili
Papa Wemba: Kumbukumbu ya miaka 10 tangu afariki
Nyuma ya Kamera: Kisa cha picha maarufu ya Muhammad Ali
AFCON 2025: Ni Senegal au Morocco?
Kocha wa Morocco asema 'Hatubebwi na marefa'
Viwanja vya AFCON 2025 Morocco
Tanzania yaaga mashindano ya AFCON 2025
Fei Toto: "Muhimu ulikuwa ni kuvuka hatua ya makundi"
Biashara ya Jezi yavuma Morocco
Utajiri wa Afrika: Twiga wa Afrika