| Swahili
Ilikuaje ishara maarufu duniani kugeuka kuwa ishara ya ubaguzi?
Michezo
Ilikuaje ishara maarufu duniani kugeuka kuwa ishara ya ubaguzi?
Ishara ya mkono ya Mwamuzi Msaidizi wa Video wa FIFA ya ‘OK’ iliyogeuzwa juu chini imezua mjadala mtandaoni

Ishara ya mkono ya Mwamuzi Msaidizi wa Video wa FIFA imezua mjadala mtandaoni baada ya watazamaji kudai kuwa inafanana na ishara ya ‘OK’ iliyogeuzwa juu chini - ishara ambayo, ingawa inaonekana haina madhara, katika miaka ya hivi karibuni imechukuliwa na baadhi ya makundi ya wazungu wenye itikadi kali kama ishara ya ubaguzi wa rangi.

Kwa hivyo ilikuaje ishara hiyo maarufu duniani kugeuka kuwa ishara ya ubaguzi

Tazama Video zaidi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
Edwin Watenya Sifuna ni nani?
Gerrard: Mwamba wa Liverpool
Soka laweka maisha yake rehani
Je, Argentina 'inabebwa’ na FIFA?
Winga teleza wa Misri Trezeguet
Chungu tamu ya matokeo ya soka duniani
Ndugu kwenye Kombe la Dunia 2026