| Swahili
Wanasoka waliofariki uwanjani
02:32
Afrika
Wanasoka waliofariki uwanjani
Wapo nyota wa soka ambao hawakumaliza dakika 90 za mechi zao za mwisho, na wapo ambao hawakurudi tena nyumbani.

Wapo nyota wa soka ambao hawakumaliza dakika 90 za mechi zao za mwisho, na wapo ambao hawakurudi tena nyumbani.

Baadhi yao ni:

- Marc Vivien Foe wa Cameroon (2003)
- Antonio Puerta wa klabu ya Hispania ya Sevilla FC (2007)
- Piermario Morosini wa Italia (2012)
- Cheick Tioté wa klabu ya China ya Beijing Enterprises (2017)

Naye Christian Eriksen wa Denmark (2021) aliponea baada ya kuanguka uwanjani ghafla lakini madaktari na wahudumu wa dharura walifanikiwa kuokoa maisha yake.

Matukio haya yalibadili ulimwengu wa kandanda kabisa pamoja na sheria za mchezo wa kabumbu.

Tazama Video zaidi
John Welle: Kizazi kipya kinachopeperusha bendera ya Tanzania katika riadha
Kocha Yaya Toure
Ainua mkono wake juu kwa miaka 53 kuushusha chini
Edwin Watenya Sifuna ni nani?
Gerrard: Mwamba wa Liverpool
Soka laweka maisha yake rehani
Je, Argentina 'inabebwa’ na FIFA?
Winga teleza wa Misri Trezeguet
Chungu tamu ya matokeo ya soka duniani
Ndugu kwenye Kombe la Dunia 2026