Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres wanatarajia kuhutubia Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), unaofanyika jijini Antalya.
Wakati huo huo, Rais Luiz Inacio Lula da Silva wa Brazil, ambaye nchi yake ilikuwa mwenyeji wa mkutano huo mwaka uliopita, anatarajia kuhutubia pamoja na Rais wa Tume ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen.
ZILIZOPENDEKEZWA
Wengine ni pamoja Makamu wa rais wa China, Han Zheng na Rais Hilda Heine, wa visiwa vya Marshall.
Mkutano wa COP31, ambao ulifunguliwa siku ya Jumatatu, unatarajiwa kumalizika Novemba 20.
CHANZO:TRTWorld























