| Swahili
Changamoto za kiongozi mpya wa Tume ya AU
01:27
Afrika
Changamoto za kiongozi mpya wa Tume ya AU
Mahmoud Ali Youssouf amekirithi kiti cha Moussa Faki Mahamat katika kusimamia utekelezaji wa majukumu ya Umoja wa Afrika kwa muhula wa miaka minne

Mahmoud Ali Youssouf amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, swali ni anakabiliwa na changamoto zipi?

Atakabaliana vipi na migogoro ya kisiasa, mapinduzi ya kijeshi, na tatizo kubwa la uhaba wa chakula?


Na nini hatma ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga Ambaye pia alikuwa akikimezea mate kiti cha Umoja wa Afrika?

Tazama Video zaidi
Riadha: Wakimbiaji wakimbizi washikilia ndoto ya medali
Rodrigue Kwizera: Mrundi anayepigania nafasi yake katika jukwaa la riadha duniani
Sheila Chepkirui: Umeme mkali wa riadha Kenya anayeandika upya historia
Jacob Kiplimo mashine kali ya Uganda inayonguruma katika mbio ndefu
Nigeria yathibitisha maambukizi ya Ebola
Asili na umuhimu wa Mwenge wa Uhuru Tanzania
Eliud Kipchoge: Gwiji aliyevunja vivkwazo vya kibinadamu vya kukimbia
Kwa nini Trump amuandama Ilhan Omar?
Egide Ntakirutimana - mwanariadha anayesukumwa na nidhamu na ari
Gout Gout: Radi inayopiga ulingo wa mbio fupi