| Swahili
Asili na umuhimu wa Mwenge wa Uhuru Tanzania
Afrika
Asili na umuhimu wa Mwenge wa Uhuru Tanzania
Nchini Tanzania, mwenge wa uhuru ni alama muhimu, kwani huangazia matumaini, mshikamano na maendeleo kwa Watanzania.

Uliwashwa kwa mara ya kwanza mwaka 1961, mara baada ya Tanganyika kujipatia uhuru wake, na toka kipindi hicho umekuwa ukizungushwa nchi nzima, ikiwa ni ishara ya kuchochea maendeleo, kukuza umoja na mshikamano, kuelimisha jamii na kuhamasisha uzalendo.

Popote ulipo, mwenge wa uhuru hulindwa na ulinzi mkali wa jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama kwa sababu ni alama kuu ya utambulisho wa kitaifa na usalama wa nchi hiyo.

Tazama Video zaidi
Nigeria yathibitisha maambukizi ya Ebola
Eliud Kipchoge: Gwiji aliyevunja vivkwazo vya kibinadamu vya kukimbia
Kwa nini Trump amuandama Ilhan Omar?
Egide Ntakirutimana - mwanariadha anayesukumwa na nidhamu na ari
Gout Gout: Radi inayopiga ulingo wa mbio fupi
Yomif Kejelcha: Mvunjaji wa marekodi ya dunia ya riadha
Kenya yaleta riadha nyumbani
Inyas Sulley: Mtanzania anayechukua riadha hatua kwa hatua
Wa-Houthi ni kina nani?
Desturi ya kuvaa baraghashia