Mashindano ya riadha yanarudi nyumbani, naam tena nyumbani kweli kweli.
Kenya ndiyo wenyeji wa Mashindano ya Riadha ya Dunia 2029, kupata nafasi hiyo, mji mkuu wa taifa hilo la Afrika Mashariki, Nairobi umelipiku jiji la London, Uingereza na lile la Roma, Italia.

Tazama Video zaidi
Kenya yaleta riadha nyumbani