| Swahili
Nigeria yathibitisha maambukizi ya Ebola
Afrika
Nigeria yathibitisha maambukizi ya Ebola
Waziri wa Afya wa Nigeria amesema kuwa mgonjwa huyo alisafiri kutoka Uganda kwenda Abuja, mji mkuu wa nchi hiyo, na juhudi za kuwafuatilia watu waliokuwa na mawasiliano naye zimeanza.

Nigeria imethibitisha maambukizi yake ya kwanza ya Ebola katika mlipuko huu wa hivi karibuni, huku Kenya ikiripoti maambukizi tisa, jambo linalozua hofu kuhusu kuenea kwa ugonjwa huo hatari barani Afrika.


Waziri wa Afya wa Nigeria, Muhammad Ali Pate, alisema siku ya Jumanne kuwa mgonjwa huyo aliyesafiri kutoka Uganda aligunduliwa kuwa na Ebola baada ya kutibiwa katika hospitali binafsi kwa siku kadhaa. Kwa sasa yuko karantini.

Tazama Video zaidi
Asili na umuhimu wa Mwenge wa Uhuru Tanzania
Eliud Kipchoge: Gwiji aliyevunja vivkwazo vya kibinadamu vya kukimbia
Kwa nini Trump amuandama Ilhan Omar?
Egide Ntakirutimana - mwanariadha anayesukumwa na nidhamu na ari
Gout Gout: Radi inayopiga ulingo wa mbio fupi
Yomif Kejelcha: Mvunjaji wa marekodi ya dunia ya riadha
Kenya yaleta riadha nyumbani
Inyas Sulley: Mtanzania anayechukua riadha hatua kwa hatua
Wa-Houthi ni kina nani?
Desturi ya kuvaa baraghashia