19 Januari 2026
Vichwa vya habari:
Rais wa Uganda Yoweri Museveni asifia ushindi wake katika uchaguzi wa Januari 15
Rais wa Iran ameonya kuhusu shambulio lolote dhidi ya Kiongozi Mkuu Ali Khamenei
Ajali ya treni nchini Uhispania yauwa watu kadhaa
Uturuki imekaribisha hatua ya kusitisha mapigano ya Syria
Senegal mabingwa wa AFCON katika mechi iliyotawaliwa na utata