Huenda umeisikia ikitumika kwenye mitandao ya kijamii au kwenye mijadala na mazungumzo kuhusu Palestina. Na hivi karibuni, pengine umeisikia ikiimbwa na waandamanaji duniani kote wanaopinga mashambulizi ya Israeli huko Gaza.

00:00
00:0000:00
Kutoka mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru
Kauli hii, “Kutoka mtoni hadi baharini, Palestina itakuwa huru”, inabeba ujumbe wenye nguvu ambao umesikika kote duniani.