| Swahili
UTURUKI
1 dk kusoma
Rais Erdogan ampokea Afisa Mwandamizi wa Vatican, jijini Ankara
Rais Recep Tayyip Erdogan amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Vatican, Pietro Kardinali Parolin.
Rais Erdogan ampokea Afisa Mwandamizi wa Vatican, jijini Ankara
Baadaye, wawili hao walifanya kikao ndani ya Ikulu ya Ankara. / Anadolu Agency