| Swahili
ULIMWENGU
1 DK KUSOMA
Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Silvio Berlusconi afariki akiwa na miaka 86
Alipatwa na matatizo yanayo husiana na leukemia yaani saratani ya damu ya muda mrefu ambapo  hapo awali haikufahamika
Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Silvio Berlusconi afariki akiwa na miaka 86
Berlusconi alikuwa amelazwa katika hospitali ya Milan ya San Raffaele wiki iliyopita kutokana na matatizo yanayohusishwa na saratani ya damu / Picha: AFP / AFP
12 Juni 2023