Rais Recep Tayyip Erdoğan alikutana na Rais wa Jamhuri ya Congo Denis Sassou Nguesso katika hafla ya Mkutano wa Viongozi wa nchi za BRICS/ Picha : AA

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan alikutana na mwenzake kutoka Jamhuri ya Congo, Denis Sassou Nguesso kando ya mkutano wa marais wa BRICS katika mji wa Kazan nchini Urusi siku ya Alhamisi.

Wawili hao walikutana kwa njia ya faragha.

Waziri wa Nishati na Maliasili wa Uturuki Alparslan Bayraktar na mshauri mkuu wa Rais wa Uturuki wa Sera za Kigeni na Usalama, Akif Cagatay Kilic, pia walihudhuria mkutano huo.

TRT Afrika