Filamu ya uchunguzi ya hali halisi ya TRT World, Holy Redemption, inafichua itikadi kali ya walowezi wa Kiyahudi wenye silaha ambao wanalenga kuwafurusha Wapalestina.
Penseli hizi zinazotengenezwa na magazeti zinachangia katika jamii kwa njia mpya na tofauti.
Wanajeshi wa Uingereza walioko KenyaBATUK wamehusishwa na madai mazito ya ubakaji, mauaji, na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya wanawake na watoto.
Kaskazini mwa Kenya kuna kijiji ambacho wanaume wamepigwa marufuku kabisa kuingia au kuishi katika kijiji hicho, na mwanaume yeyote atakayethubutu kuingia basi atakabiliwa na adhabu kali kutoka kwa wanawake.
Wengi huwa wanajiuliza Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ingekuwaje hii leo kama Patrice Lumumba asingeuwawa?































