Mchoro unaoonesha mwenendo wa upatikanaji wa huduma za intaneti nchini Kenya./Picha: netblocks X

Huduma za intaneti zimeripotiwa kuathirika nchini Kenya, kufuatia maandamano ya kupinga muswada wa fedha 2024.

Wakati huo huo, chombo cha habari cha KTN News cha nchini Kenya kimeripoti kupokea vitisho vya kufunga chombo kutokana na namna walivyoripoti maandamano na vurugu za kupinga muswada wa fedha wa 2024.

TRT Afrika