| Swahili
ULIMWENGU
1 dk kusoma
Jeshi la Israel lalipua makazi ya mfungwa wa Kipalestina
Mashuhuda walisema kuwa, wanajeshi hao walivamia mji huo na kuanza kushambulia makazi ya Dawas Hassoun, na kusababisha uharibifu mkubwa, siku ya Jumatano jioni.
Jeshi la Israel lalipua makazi ya mfungwa wa Kipalestina
Mashuhuda walisema kuwa, wanajeshi hao walivamia mji huo na kuanza kushambulia makazi ya Dawas Hassoun, na kusababisha uharibifu mkubwa, Jumatano jion

Jeshi la Israel limeshambulia na kulipua makazi ya mfungwa wa Kipalestina, katika eneo la Ukingo wa Magharibi.

Mashuhuda walisema kuwa, wanajeshi hao walivamia mji huo na kuanza kushambulia makazi ya Dawas Hassoun, na kusababisha uharibifu mkubwa, Jumatano jioni.

Hassoun alikamatwa Machi 2026, akituhumiwa kwa mauaji ya mtu mmoja.

Katika tukio lingine lililotokea mapema Alhamisi, wanajeshi wa Israel walichoma moto magari mawili katika eneo kijiji cha Attara, kaskazini mwa Ramallah.

CHANZO:Anadolu Agency